IQNA

Ijue zaidi nchi ya Kiislamu na tajiri ya Brunei

Kwa mtazamo wa idadi ya watu, Brunei ni nchi ndogo zaidi ya Kiislamu na iko kusini mashariki mwa bara Asia. Nchi hii ina rekodi kadhaa muhimu ambapo imetajwa kuwa nchi tajiri zaidi katika ulimwengu wa Kiislamu na ni ya tano kwa utajiri mkubwa duniani.
Kishikizo: brunei