IQNA

Afrika Kusini yaimarisha sekta ya utalii halali mjini Cape Town

TEHRAN (IQNA)- Meya wa mji wa Cape Town nchini Afrika Kusini Patricia de Lille amesema idadi Watalii Waislamu wanatarajiwa kuwa kati watakaoleta pato kubwa...

Mkutano wa Changamoto za Umma wa Kiislamu wafanyika Uturuki

TEHRAN (IQNA)- Wasomi kutoka nchi mbali mbali wamekutananchini Uturuki kujadili changamoto za ulimwengu wa Kiislamu chini ya anuani ya 'Kongamano la Kimataifa...

Misri yawaenzi waliohifadhi Qur'ani

TEHRAN (IQNA)- Zaidi ya washichana na wavulana 500 waliohifadhi Qur'ani Tukufu nchini Misri wamenziwa na kutunukiwa zawadi katika Kituo cha Kuhifadhi Qur'ani...
Kiongozi wa Hizbullah

Marekani inaenza chuki dhidi ya Iran ili kuzuizia silaha nchi za Kiarabu

TEHRAN (IQNA)- Katibu Mkuu wa harakati ya Hizbullah ya Lebanon amesema kuwa, Rais Donald Trump wa Marekani anatumia sera ya kueneza propaganda chafu dhidi...
Habari Maalumu
Iran kuandaa kongamano la ‘Mustakabali wa Ulimwengu wa Kiislamu’

Iran kuandaa kongamano la ‘Mustakabali wa Ulimwengu wa Kiislamu’

TEHRAN (IQNA)- Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imetangaza mpango wa kuandaa kongamano la ‘Mustakabali wa Ulimwengi wa Kiislamu Kufikia Mwaka 2035.’
09 Oct 2018, 21:48
Waislamu Ohio Marekani wajitahidi kueneza ufahamu wa Uislamu

Waislamu Ohio Marekani wajitahidi kueneza ufahamu wa Uislamu

TEHRAN (IQNA)- Waislamu katika jimbo la Ohio nchini Marekani wameanzisha mkakati maalmu wa kuhakikisha kuwa wakaazi wote wa eneo hilo wanapata ufahamu...
08 Oct 2018, 21:35
Magaidi 200 wa Al Shabab wafikishwa mahakamani Msumbuji

Magaidi 200 wa Al Shabab wafikishwa mahakamani Msumbuji

TEHRAN (IQNA)-Maafisa wa mahaka za Msumbiji wametangaza kuwa wamewahukumu wanachama 200 wa kundi la al Shabab la magaidi wakufurishaji.
05 Oct 2018, 08:41
Barham Salih achaguliwa kuwa Rais mpya wa Iraq

Barham Salih achaguliwa kuwa Rais mpya wa Iraq

TEHRAN (IQNA)-Jana Jumanne, Bunge la Iraq lilimchagua Barham Salih, kuwa rais mpya na Adil Abdul Mahdi kuwa waziri mkuu mpya wa nchi hiyo.
03 Oct 2018, 17:52
Wanazi mamboleo wauhujumu msikiti Ujerumani

Wanazi mamboleo wauhujumu msikiti Ujerumani

TEHRAN (IQNA)- Msikiti mmoja umehujumiwa huko Ujerumani katika mji wa Gladbeck katika jinai ambayo inasadikiwa imetekelezwa na wanazi mamboleo wanaowachukia...
02 Oct 2018, 17:37
Rais Macron wa Ufaransa atakiwa kuwasilikza Waislamu kuhusu sheria mpya

Rais Macron wa Ufaransa atakiwa kuwasilikza Waislamu kuhusu sheria mpya

TEHRAN (IQNA)-Rais Emmanuel Macron wa Ufaransa ametakuwa kusikiliza sauti za Waislamu kabla ya kukamilisha rasimu ya sheria mpya za Uislamu nchini humo.
01 Oct 2018, 12:46
Qarii wa Iran ashinda Mashindano ya Kimataifa ya Qur'ani ya Croatia

Qarii wa Iran ashinda Mashindano ya Kimataifa ya Qur'ani ya Croatia

TEHRAN (IQNA)- Qarii (msomaji wa Qur'ani) ameibuka mshindi katika Mashindano ya 25 ya Kimataifa ya Qur'ani Tukufu ya Croatia yaliyomalizika Jumamosi.
30 Sep 2018, 20:16
Afrika Kusini yasisitiza kuhusu sera zake dhidi ya utawala wa Kizayuni wa Israel

Afrika Kusini yasisitiza kuhusu sera zake dhidi ya utawala wa Kizayuni wa Israel

TEHRAN (IQNA)- Afrika Kusini imesisitiza kuwa sera zake dhidi ya utawala wa Kizayuni wa Israel zinabaki pale pale.
29 Sep 2018, 09:32
Kanisa Humburg Ujerumani Lageuzwa kuwa Msikiti

Kanisa Humburg Ujerumani Lageuzwa kuwa Msikiti

TEHRAN (IQNA)- Jengo moja ambalo limekuwa likitumiwa kama kanisa kwa muda mrefu mjini Humburg nchini Ujerumani sasa limegeuzwa na kuwa msikiti.
28 Sep 2018, 10:05
Idadi ya wanaokumbatia Uislamu yaongezeka Norway

Idadi ya wanaokumbatia Uislamu yaongezeka Norway

TEHRAN (IQNA)- Idadi ya watu wanaokumbatia dini tukufu ya Kiislamu nchini Norway inazidi kuongezeka ambapo katika miaka ya hivi karibuni Wanorway wasiopungua...
27 Sep 2018, 10:25
Picha