Habari Maalumu
IQNA – Katibu Mkuu wa Hizbullay ya Lebanon amepuuzilia mbali wazo la kuipokonya harakati hiyo, silaha zake na kusema wale wanaotoa wito wa kufanya hivyo...
19 Apr 2025, 22:40
IQNA – Chama kimoja cha misimamo mikali ya mrengo wa kulia nchini Italia, kinachoongozwa na Naibu Waziri Mkuu Matteo Salvini, kinahunguzwa rasmi baada...
19 Apr 2025, 22:19
IQNA-Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amesisitiza kuwa: Uhusiano kati ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran na Saudi Arabia utakuwa na faida kwa pande...
18 Apr 2025, 09:58
IQNA – Makundi yote ya Palestina yameungana katika upinzani wao mkali dhidi ya pendekezo la kuzitaka harakati za Kiislamu za kupigania ukombozi (Muqawama)...
18 Apr 2025, 18:49
IQNA – Rais wa Iran Massoud Pezeshkian amesema umoja wa Waislamu kuwa msingi wa amani na maendeleo katika eneo hilo.
18 Apr 2025, 11:13
IQNA – Mipango inaendelea kuanzisha maeneo ya kupumzika kwa Mahujaji katika sehemu mbalimbali za Mina, Arafat na Muzdalifah karibu na Makka wakati wa Hija...
18 Apr 2025, 10:37
IQNA-Umoja wa Ulaya umetangaza azma ya kukabiliana na uhalifu wa chuki dhidi ya Uislamu (Islamophobia) katika nchi za Ulaya.
18 Apr 2025, 10:18
IQNA – Harakati ya Mapambano ya Kiislamu (Muqawama) ya Lebanon, Hizbullah, imetoa wito kwa Jumuiya ya Ushirikiano wa Kiislamu (OIC), Jumuiya ya Nchi za...
17 Apr 2025, 11:55
IQNA – Jumla ya raia 85,000 wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran watashiriki katika ibada ya Hija mwaka huu ambapo miongoni mwao 1,100 wana umri wa zaidi ya...
17 Apr 2025, 11:04
IQNA – Rais wa zamani wa Chuo Kikuu cha Al-Azhar amesema kuwa Qur'ani Tukufu inaangazia utambulisho wa Kiislamu wa Msikiti wa Al-Aqsa.
16 Apr 2025, 16:29
IQNA – Hafla ya ‘Halal kwa Halal’ na mpango wa kutafakari kuhusu aya za Qur'ani zilifanyika kwa ushiriki mkubwa wa viongozi wa kidini, kitamaduni na kitaaluma...
16 Apr 2025, 15:52
IQNA – Kupitia taarifa kali kwenye mitandao ya kijamii, Mufti Mkuu wa Oman, Sheikh Ahmad bin Hamad Al-Khalili, amewakosoa vikali viongozi wa Kiarabu wanaoripotiwa...
16 Apr 2025, 15:11
Chuo Kikuu cha UAE chafungua vituo vya kuhifadhi Qur'ani Uganda, Kenya, na Comoro
16 Apr 2025, 14:40
IQNA – Wanafunzi watatu Waislamu wa chuo kikuu huko Georgia nchini Marekani wametozwa faini ya kifedha baada ya kudhalilishwa walipokuwa wakiswali katika...
16 Apr 2025, 14:26
IQNA-Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu Ayatullah Seyyed Ali Khamenei amesema mazungumzo yasiyo ya moja kwa moja kati ya Iran na Marekani katika...
15 Apr 2025, 22:49
IQNA – Kituo cha Karbala cha Utafiti, kilichoko chini ya uangalizi wa Idara ya Mfawidhi wa Haram Takatifu ya Imam Hussein (AS), kimetangaza wito wa kuwasilisha...
15 Apr 2025, 22:29