iqna

IQNA

walowezi
Jinai za Israel
IQNA - Makumi ya walowezi wa Kizayuni wamevamia Msikiti wa Al-Aqsa katika mji wa Quds (Jerusalem) siku ya Jumatatu chini ya ulinzi mkali wa wanajeshi wa utawala ghasibu wa Israel ambao unakalia eneo hilo kwa mabavu.
Habari ID: 3478720    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/04/23

Jinai za Israel
IQNA - Idara ya Wakfu ya Kiislamu, inayosimamia Msikiti wa Al-Aqsa huko al-Quds (Jerusalem), imesema leo kwamba ni waumini 15,000 pekee walioruhusiwa kuingia katika eneo hilo takatifu kwa ajili ya Sala ya Ijumaa kutokana na vikwazo vilivyowekwa na utawala ghasibu wa Israel.
Habari ID: 3478154    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/01/05

Jinai za Israel
AL-QUDS (IQNA) - Mashambulizi ya walowezi wa Kizayuni dhidi ya matukufu ya Kikristo na makanisa katika ardhi za Palestina zinazokaliwa kwa mabavu na Israel yamekuwa yakiongezeka katika miezi ya hivi karibuni
Habari ID: 3477330    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/07/24

Jinai za Israel
AL-QUDS (IQNA) - Wapalestina walishambuliwa na walowezi wa Kizayuni kwenye barabara na makutano kadhaa katika Ukingo wa Magharibi unaokaliwa kwa mabavu siku ya Jumapili.
Habari ID: 3477299    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/07/18

Jinai za Israel
TEHRAN (IQNA) – Walowezi wa Kizayuni waliwashambulia Wapalestina katika Mji Mkongwe wa al-Quds (Jerusalem) na kujeruhi takriban 21 kati yao wakiwemo watoto.
Habari ID: 3475819    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/09/21

Jinai za Israel
TEHRAN (IQNA) – Idadi kubwa ya walowezi wa Kizayuni wenye itikadi kali waliuvamia na kuuvunjia heshima Msikiti wa Al-Aqsa mjini Quds (Jerusalem) mapema Jumapili wakati utawala dhalimu wa Israel uikuwa ukiwashaambulia na kuwaua Wapalestina kwa mabomu huko Gaza kwa siku ya tatu mfululizo.
Habari ID: 3475592    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/08/07

Sala ya Ijumaa
TEHRAN (IQNA) – Swala ya Ijumaa katika Msikiti wa Al-Aqswa huko al-Quds (Jerusalem) ilihudhuriwa na makumi ya maelfu ya waumini Wapalestina jana, ambayo iliadhimisha Siku ya Arafah.
Habari ID: 3475480    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/07/09

Matukio ya Palestina
TEHRAN (IQNA)- Makundi ya Wazayuni wenye misimamo mikali wametoa wito wa kuhujumiwa Msitiki wa Al Aqsa mjini Quds (Jerusalem) mnamo Aprili 15 sambamba na 14 Mwezi Mtukufu wa Ramadhani kwa mnasaba wa siku kuu ya Kiyahudi wa Pasaka.
Habari ID: 3475097    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/04/07

TEHRAN (IQNA)- Utawala wa Kizayuni wa Israel umefunga Msikiti wa Nabii Ibrahim AS katika mji wa Al Khalil (Hebron) ulio katika eneo Ukingo wa Magharibi wa Mto Jordan, linalokaliwa kabavu na utawala huo ghasibu, kwa lengo la kutekeleza hafla ya Kizayuni-Kiyahudi katika eneo hilo.
Habari ID: 3474325    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/09/22

TEHRAN (IQNA)- Afisa mwandamizi wa Umoja wa Mataifa amebainisha wasiwasi wake juu ya kampeni ya utawala wa Israeli ya kuwakamata, kuwatesa na kuwakandamiza watetezi wa haki za binadamu wa Palestina kote Ukingo wa Magharibi unaokaliwa kwa mabavu na utawala huo.
Habari ID: 3474187    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/08/13

TEHRAN (IQNA)- Wanajeshi wa utawala wa Kizayuni wa Israel wamewahujumu Wapalestina waliokuwa wakiandamana kwa amani dhidi ya ujenzi wa vitongoji haramu vya walowezi wa Kizayuni katika mji wa Nablus ulio katika eneo linalokaliwa kwa mabavu la Ukingo wa Magharibi wa Mto Jordan.
Habari ID: 3474065    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/07/03

TEHRAN (IQNA)- Kijana Mpalestina ameuawa shahidi Ijumaa baada ya wanajeshi wa utawala wa Kizayuni wa Israel kuwatawanya waandamanaji waliokuwa wamejitokeza katika maandamano ya amani kupinga ujenzi wa vitongoji haramu vya walowezi wa Kizayuni.
Habari ID: 3473998    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/06/12

Walowezi wa Kizayuni wasiopungua 1,000 waliokuwa wakisindikizwa na askari wa utawala haramu wa Israel wamevamia na kulivunjia heshima kaburi la Nabii Yusuf (AS), ziara linaloheshimiwa na Wayahudi, Wakristo na Waislamu.
Habari ID: 3470234    Tarehe ya kuchapishwa : 2016/04/08

Walowezi wa Kizayuni wameuvamia tena Msikiti wa Al Aqsa katika mji wa Baitul Maqdis.
Habari ID: 2891642    Tarehe ya kuchapishwa : 2015/02/24