iqna

IQNA

jenin
Jinai za Israel
IQNA – Askari wa jeshi vamizi la Israel wameuhujumu na kuunajisi msikiti mmoja huko Jenin wakati wa shambulio lililosababisha vifo vya Wapalestina 12 siku ya Alhamisi.
Habari ID: 3478037    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/12/15

Jinai za Israel
AL-QUDS (IQNA) – Wataalamu wa sheria wamebaini kuwa sheria za Mkataba wa Geneva kuhusu uhalifu wa kivita zilikiukwa katika shambulio la mauaji la jeshi la Israel kwenye kambi ya wakimbizi ya Jenin katika sehemu ya kaskazini ya Ukingo wa Magharibi unaokaliwa kwa mabavu.
Habari ID: 3477286    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/07/15

Jinai za Israel
JENIN (IQNA)- Jeshi la utawala haramu wa Kizayuni wa Israel limefanya mashambulizi ya kinyama ya anga kwenye kambi ya wakimbizi ya Jenin katika Ukingo wa Magharibi unaokaliwa kwa mabavu na kuua shahidi Wapalestina wasiopungua wanane na kujeruhi makumi kadhaa.
Habari ID: 3477233    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/07/03

Jinai za Israel
TEHRAN (IQNA)-Jeshi katili la utawala haramu wa Israel limewaua shahidi vijana watatu wa Kipalestina katika mji wa Jenin, kaskazini mwa Ukingo wa Magharibi wa Mto Jordan.
Habari ID: 3476216    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/12/08

Jinai za Israel
TEHRAN (IQNA)- Wanajeshi wa utawala katili wa Israel wamempiga risasi na kumuua kijana wa Kipalestina walipokuwa wakivamia sehemu ya kaskazini ya Ukingo wa Magharibi wa Mto Jordan huku hali ya wasiwasi ikiongezeka katika maeneo yanayokaliwa kwa mabavu na utawala huo katika wiki za hivi karibuni.
Habari ID: 3475443    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/06/29