iqna

IQNA

fikra za kiislamu
Fikra za Kiislamu
TEHRAN (IQNA) – Katika Qur’ani Tukufu na hadithi za Mtukufu Mtume Muhammad (SAW) ndoto na athari zake zimetajwa kuwa ni muhimu.
Habari ID: 3475810    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/09/19

Fikra za Kiislamu
TEHRAN (IQNA) – Wanadamu wana hisia tofauti, ambazo baadhi zinaweza kusababisha tabia isiyofaa ambayo inahitaji kudhibitiwa ili isimzuie mtu kufikia malengo yake halali na ya juu..
Habari ID: 3475805    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/09/18

Fikra za Kiislamu
TEHRAN (IQNA) – Kila mtu anaweza kukosea na kufanya madhambi lakini ipo njia ya kurejea kwa Mwenyezi Mungu na kuomba msahamah kwani Yeye hawaachi waja wake hata iweje.
Habari ID: 3475776    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/09/13

Fikra za Kiislamu
TEHRAN (IQNA) – Qur’ani Tukufu ni muujiza wa milele na iko katika kiwango cha juu cha ufasaha na maudhui. Njia moja ambayo Qur’ani Tukufu inaitumia kuimarisha nyoyo za waumini ni Tahaddi (kukaribisha changamoto).
Habari ID: 3475758    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/09/09

Fikra za Kiislamu
TEHRAN (IQNA) – Jamii ya Qur’ani inapaswa kuwa na seti ya vipengele na muhimu zaidi ni pamoja na imani, akili, elimu, uadilifu, na wema au ukarimu.
Habari ID: 3475751    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/09/08

Fikra za Kiislamu
TEHRAN (IQNA) - Hisia ya woga huja mtu anapokutana na hali ya hatari au ya kutisha. Lakini maandiko ya kidini pia yanazungumzia kuhusu kumuogopa Mwenyezi Mungu. Hofu ina maana gani hapa ilhali Mwenyezi Mungu ameelezwa kuwa ni Mwenye Huruma na Mwenye kurehemu?
Habari ID: 3475738    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/09/05

Fikra za Kiislamu
TEHRAN (IQNA) – Katika aya nyingi za Qur’ani Tukufu, wanadamu wameshauriwa kutafakari ambapo aya zake nyingi zinasisitiza mantiki na fikra.
Habari ID: 3475728    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/09/03

Fikra za Kiislamu
TEHRAN (IQNA) - Kuna aya ndani ya Qur'an Tukufu inayosisitiza uharamu wa kuyatukana masanamu ya makafiri, na maoni ya wafasiri wa Qur'ani na wanafiqhi kuhusu aya hii na sababu ya kuharamishwa kwake ni ya kuvutia.
Habari ID: 3475712    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/08/31

Fikra za Kiislamu
TEHRAN (IQNA) - Siasa katika Uislamu haimaanishi hila, hadaa na udanganyifu, badala yake dini hii tukufu inasisitiza maadili bora na uaminifu kuwa miongoni mwa vipengele vikuu katika siasa
Habari ID: 3475689    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/08/27

Fikra za Kiislamu
TEHRAN (IQNA) - Kusafiri sio tu kunaweza kuwa na faida za burudani lakini pia kuna jukumu kubwa katika kuboresha afya ya mtu kiakili. Ndio maana Qur'ani Tukufu ikapendekeza kusafiri na kujionea dunia.
Habari ID: 3475655    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/08/21

Tafakari
TEHRAN (IQNA) – Ingawa elimu ina hadhi ya juu katika ustawi wa mwanadamu lakini inahitaji kuunganishwa na hekima ili kuibua kielelezo cha maisha ya mwanadamu.
Habari ID: 3475615    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/08/12