iqna

IQNA

wanawake
TEHRAN (IQNA)- Wawakilishi wa nchi takribani 50 wametangaza kuwa tayari kushiriki katika Duru ya Tano ya Mashindano ya Kimataifa ya Qur'ani Tukufu ya Wanawake Dubai katika Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE)
Habari ID: 3474566    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/11/16

TEHRAN (IQNA)- Wakuu wa Umoja wa Falme za Kiarabu wametangaza kuwa, wanawake sasa wataruhusiwa tena kusali misikitini baada ya maeneo yao kufungwa kwa muda kutokana na janga la COVID-19.
Habari ID: 3474539    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/11/10

TEHRAN (IQNA)- Mwenyekiti wa msikiti mmoja mjini London amebainisha masikitiko yake kuhusu kuongezeka ubaguzi na bughudha dhidi ya wanawake Waislamu.
Habari ID: 3474522    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/11/06

TEHRAN (IQNA)-Kituo cha Qur’ani Tukufu kinachofungamana na Idara ya Mfawidhi wa Haram Takatifu ya Imam Ali AS huko Najaf, Iraq kimeandaa mafunzo ya Qur’ani kwa ajili ya wanawake .
Habari ID: 3474501    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/11/01

TEHRAN (IQNA)- Wizara ya Mambo ya Ndani ya Ufalme wa Saudi Arabia Jumatatu imechapisha picha za walinzi wanawake wakiwa katika Msitiki Mtakatifu wa Makka, al-Masjid al-Ḥaram.
Habari ID: 3473835    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/04/20

TEHRAN (IQNA) – Wizara ya Wakfu na Masuala ya Kiislamu Qatar imetangaza mpango wa kuanzisha vituo zaidi vya kusomesha wanawake Qur'ani Tukufu nchini humo.
Habari ID: 3473771    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/03/30

TEHRAN (IQNA)- Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu ametuma ujumbe maalumu kwa Kongamano la Taifa la "Jeshi la Malaika Walioweka Historia" lililoitishwa maalumu kwa ajili ya kuwaenzi wanawake waliouawa shahidi, majeruhi wa vita na walioachiliwa huru na kusema kuwa, wanawake hao wanamapambano na mashujaa wenye kujitolea katika njia ya haki, ni vilele bora vya fakhari za Mapinduzi ya Kiislamu.
Habari ID: 3473721    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/03/09

TEHRAN (IQNA)- Fainali ya kitengo cha wanawake katika Mashindano ya 37 Kimataifa ya Qur’ani ya Iran ilianza Jumapili.
Habari ID: 3473715    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/03/08

TEHRAN (IQNA) Wanawake Waislamu nchini Nigeria wamemtaka rais wa nchi hiyo Muhammadu Buhari na magavana wa majimbo watunge sheria za kuwaadhibu wale wanaowabagua wanawake Waislamu kwa sababu tu wamevaa Hijabu.
Habari ID: 3473624    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/02/05

Kiongozi Muadhamu wa mapinduzi ya Kiislamu
TEHRAN (IQNA)- Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu ameashiria tofauti za kimsingi za mtazamo wa Uislamu na ulimwengu wa Magharibi mwa mwanamke na kusema kuwa,Uislamu na Jamhuri ya Kiislamu vinamtazama mwanamke kwa jicho la heshima ilihali mtazamo ulionea Magharibi kuhusu mwanamke ni wa kumtazama kiumbe huyu kama bidhaa na wenzo.
Habari ID: 3473616    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/02/03

TEHRAN (IQNA)- Wanawake Waislamu nchini Uganda wamemuandikia barua spika wa bunge la nchi hiyo, Bi Rebecca Kadaga wakitaka mabadiliko katika sharia ili kuwaruhusia wanawake Waislamu wavae Hijabu wakati wanapopigwa picha za vitambulisho.
Habari ID: 3473282    Tarehe ya kuchapishwa : 2020/10/21

Rais Hassan Rouhani
TEHRAN (IQNA) - Rais Hassan Rouhani wa Iran amesema moja ya fahari za Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ni kuwa inawaruhusu wanawake waendeleze harakati zao katika sekta mbali mbali.
Habari ID: 3472893    Tarehe ya kuchapishwa : 2020/06/24

TEHRAN (IQNA)- Mashindano ya Tatu ya Kimataifa ya Qur'ani ya Iran maalumu kwa ajili ya wanawake yamemalizika Ijumaa mjini Tehran.
Habari ID: 3471914    Tarehe ya kuchapishwa : 2019/04/13

TEHRAN (IQNA)- Awamu ya tatu ya mashindano ya kimataifa ya Qur'ani maalumu kwa wanawake yameanza Jumapili mjini Dubai katika Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE).
Habari ID: 3471730    Tarehe ya kuchapishwa : 2018/11/05

TEHRAN (IQNA)-Binti Mtanzania, Ashura Amani Lilanga, ameshika nafasi tatu katika Mashindano ya Tatu Kimataifa ya Qur’ani ya Wanawake katika Jamhuri ya Kiislamu ya Iran.
Habari ID: 3471482    Tarehe ya kuchapishwa : 2018/04/26

TEHRAN (IQNA)-Kitengo cha wanawake katika Mashindano ya 35 ya Kimataifa ya Qur’ani Tukufu ya Irna kimefunguliwa Jumamosi.
Habari ID: 3471476    Tarehe ya kuchapishwa : 2018/04/22

TEHRAN (IQNA)-Zaidi ya wanawake 7,000 wanashiriki katika awamu ya 11 ya Mashindano ya Kitaifa ya Qur'ani kwa wanawake mjini Tehran.
Habari ID: 3471301    Tarehe ya kuchapishwa : 2017/12/09

TEHRAN (IQNA)-Mashindano ya tano ya Qur’ani ya wanawake yanafanyika wiki hii nchini Libya.
Habari ID: 3471131    Tarehe ya kuchapishwa : 2017/08/20

IQNA-Iran imechagua wanawake watakaoiwakilisha nchi hii katika mashindano ya kimataifa ya Qur'ani yatakayofanyika maeneo mbali mbali duniani mwaka huu.
Habari ID: 3470863    Tarehe ya kuchapishwa : 2017/02/22

Mjadala wa #tilljannah (hadi Jannah) maalumu kwa vijana wa kike Waislamu, umefanyika pembizoni mwa Mkutano wa Kilele wa Wanawake Waislamu mwaka 2016 huko Kuala Lumpur, Malaysia na kuwavutia washiriki takribani 500.
Habari ID: 3470579    Tarehe ya kuchapishwa : 2016/09/25