IQNA

Al-Azhar na Radio ya Qur’ani Misri Kuandaa Kurekodi Qiraa Mpya

Al-Azhar na Radio ya Qur’ani Misri Kuandaa Kurekodi Qiraa Mpya

IQNA – Kituo cha Kiislamu cha Al-Azhar nchini Misri pamoja na Radio ya Qur’ani ya taifa hilo, hivi karibuni wataanza mradi wa kurekodi qiraa mpya za Qur’an Tukufu.
14:51 , 2025 Dec 31
Siku ya Krismasi, Msikiti wa Bradford Wakuwa Kitovu cha Jamii

Siku ya Krismasi, Msikiti wa Bradford Wakuwa Kitovu cha Jamii

IQNA – Wakati wengi walikusanyika na familia zao, milango ya msikiti mmoja mjini Bradford, kaskazini mwa Uingereza, ilifunguliwa kuwapokea wale ambao vinginevyo wangebaki peke yao.
14:43 , 2025 Dec 31
Maadhimisho Karbala Yasherehekea Kuzaliwa kwa Imam Jawad (AS)

Maadhimisho Karbala Yasherehekea Kuzaliwa kwa Imam Jawad (AS)

IQNA – Haramu tukufu ya Hadhrat Abbas (AS) mjini Karbala, Iraq, imeandaa sherehe ya kila mwaka kwa heshima ya kumbukumbu ya kuzaliwa kwa Imam Jawad (AS).
14:37 , 2025 Dec 31
Haramu ya Najaf yapambwa kwa maua kabla ya Maadhimisho ya Kuzaliwa kwa Imam Ali (AS)

Haramu ya Najaf yapambwa kwa maua kabla ya Maadhimisho ya Kuzaliwa kwa Imam Ali (AS)

IQNA – Haramu tukufu ya Imam Ali (AS) mjini Najaf, Iraq, imepambwa kwa maua mengi kwa heshima ya kumbukumbu ya kuzaliwa kwa Imam wa kwanza wa Waislamu wa madhehebu ya Shia.
14:21 , 2025 Dec 31
Klipu | Ujitolee kwake kwa ukamilifu

Klipu | Ujitolee kwake kwa ukamilifu

IQNA- Katika dunia ya leo yenye pilika pilika nyingi na mwendo wa haraka, wakati mwingine tunahitaji kusimama kwa muda mfupi na kupata utulivu. Mfululizo wa "Sauti ya Wahyi" kwa kuchagua baadhi ya aya kwenye Qur'ani Tukufu na sauti ya kupendeza ya Ustadh Behrouz Razawi, ni mwaliko wa safari ya kiroho na yenye kuinua roho. Mfululizo huu mfupi lakini wenye maudhui ya kina, unawaletea nyakati za utulivu na matumaini.
14:53 , 2025 Dec 30
Nafasi ya Istighfar Katika Kuvuta Rehema za Mwenyezi Mungu

Nafasi ya Istighfar Katika Kuvuta Rehema za Mwenyezi Mungu

IQNA – Athari za Istighfar (kuomba msamaha kwa Mwenyezi Mungu) hazihusiani tu na kusamehewa dhambi, bali pia huondoa vizuizi vinavyokwamisha baraka na rehema za Mwenyezi Mungu kumfikia mwanadamu.
14:44 , 2025 Dec 30
Nchi 48 zashiriki Mashindano ya Kimataifa ya Qur’ani Algeria

Nchi 48 zashiriki Mashindano ya Kimataifa ya Qur’ani Algeria

IQNA – Mashindano ya 21 ya Kimataifa ya Qur’ani nchini Algeria yameanza kwa ushiriki wa wawakilishi kutoka zaidi ya nchi 48.
14:38 , 2025 Dec 30
Wahifadhi Qur’ani wa kike waenziwa katika kambi ya wakimbizi Gaza

Wahifadhi Qur’ani wa kike waenziwa katika kambi ya wakimbizi Gaza

IQNA – Hafla maalumu imefanyika Gaza kuadhimisha mahafali ya wanafunzi kadhaa wa kike waliokamilisha kuhifadhi Qur’ani Tukufu.
14:31 , 2025 Dec 30
Wajumbe wa Baraza la Sera la Maonyesho ya Kimataifa ya Qur’ani Tehran watangazwa

Wajumbe wa Baraza la Sera la Maonyesho ya Kimataifa ya Qur’ani Tehran watangazwa

IQNA – Waziri wa Utamaduni na Mwongozo wa Kiislamu wa Iran ametangaza jina la mwenyekiti wa Maonyesho ya 33 ya Kimataifa ya Qur’ani mjini Tehran, pamoja na wajumbe wengine wa baraza la kutunga sera za hafla hiyo.
14:13 , 2025 Dec 30
Kikao cha Khatmul Qur’an chafanyika Oman jijini Salalah

Kikao cha Khatmul Qur’an chafanyika Oman jijini Salalah

IQNA – Hafla ya Khatm Qur’an imefanyika katika mji wa Salalah, Oman, ikihusisha washiriki 110 waliokuwa wamehifadhi Qur’ani Tukufu.
14:01 , 2025 Dec 30
Bendera ya Haram ya Imam Ali (AS) yabadilishwa kabla ya tukio tukufu

Bendera ya Haram ya Imam Ali (AS) yabadilishwa kabla ya tukio tukufu

IQNA – Kadri maadhimisho ya kuzaliwa kwa Imam Ali (AS) yanavyokaribia, bendera ya haram ya Imam huyo wa kwanza imebadilishwa katika hafla maalumu Jumapili.
13:23 , 2025 Dec 29
Meya wa Kwanza Mwislamu kuchukua usukani wa New York wiki hii

Meya wa Kwanza Mwislamu kuchukua usukani wa New York wiki hii

IQNA – Zohran Mamdani ataapishwa kuwa meya wa 110 wa Jiji la New York wiki hii, ambapo ataweka historia kwa kuwa Mwislamu wa kwanza kuliongoza jiji kubwa zaidi nchini Marekani.
13:17 , 2025 Dec 29
Zabuni za huduma za Iftar zatangazwa kwa Ramadhani katika Misikiti ya Makkah na Madinah

Zabuni za huduma za Iftar zatangazwa kwa Ramadhani katika Misikiti ya Makkah na Madinah

IQNA – Kampuni zinazobobea katika huduma za chakula kwa wingi zinakaribishwa kuomba nafasi ya heshima ya kutoa futari katika Msikiti Mtukufu wa Makkah (Masjid al Haram) na Msikiti wa Mtume (SAW), Al Masjid An Nabawi mjini Madinah wakati wa mwezi mtukufu wa Ramadhani 2026.
13:09 , 2025 Dec 29
Migahawa ya Seoul yabadilika kukidhi wimbi la watalii Waislamu kwa menyu 'Halal'

Migahawa ya Seoul yabadilika kukidhi wimbi la watalii Waislamu kwa menyu 'Halal'

IQNA – Mapinduzi ya kimyakimya ya upishi yanaendelea mjini Seoul, Korea Kusini yakichochewa na mifuko na ladha za kundi linalokua kwa kasi: watalii Waislamu.
12:59 , 2025 Dec 29
Sauti | Tilawa ya Qur’ani Tukufu kwa Sauti ya Ridha Javidy

Sauti | Tilawa ya Qur’ani Tukufu kwa Sauti ya Ridha Javidy

IQNA – Sauti ya tilawa ya aya za 22 hadi 26 za Surah Ash-Shura pamoja na aya za Surah Al-Kawthar imetolewa kwa wafuatiliaji wa tovuti ya IQNA kwa sauti ya Ridha Javidy, qari wa Haram ya Imam Ridha (AS), jijini Mashhad, Kaskazini mashariki mwa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran.
16:02 , 2025 Dec 28
1