IQNA

Vifo kufuatia tetemeko la ardhi Morocco

RABAT (IQNA) - Zaidi ya watu 2,000 wamepoteza maisha baada ya tetemeko kubwa la ardhi la ukubwa wa 6.8 kwa kipimo cha rishta, ambalo lilikuwa na nguvu zaidi kuwahi kuikumba nchi hiyo katika miongo sita. Zilzala hiyo iliisubu Morocco siku ya Ijumaa usiku.

 

 

3485113

 

Kishikizo: tetemeko ، morocco ، vifo