iqna

IQNA

uingereza
Palestina
TEHRAN (IQNA)- Kwa mara nyingine, Uingereza kutokana na mashinikizio na ukosoaji wa ndani na nje ya nchi, imesisitiza kuwa haina mpango wa kuuhamishia ubalozi wake kutoka Tel Aviv hadi katika mji wa Quds Tukufu (Jerusalem), huko Palestina inayokaliwa kwa mabavu na Israel
Habari ID: 3476131    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/11/22

TEHRAN (IQNA) – Maafisa wa uhamiaji wa Uingereza wameongeza upekuzi katika vituo vya kidini, hasa misikitini, katika jitihada za kukabiliana na uhamiaji haramu.
Habari ID: 3476045    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/11/06

Waislamu Uingereza
TEHRAN (IQNA) - Kulingana na maafisa wa Msikiti wa Cambridge nchini Uingereza watu 86 wametamka shahada mbili (au tamko la imani ya Kiislamu) katika kituo hicho tangu Januari.
Habari ID: 3476033    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/11/04

Hali ya Waislamu Uingereza
TEHRAN (IQNA) - Kundi la kutetea haki za Uingereza limeonya kuhusu mkakati tata wa serikali ya nchi hiyo wa kupambana na kile kinachodaiwa kuwa ni 'ugaidi' na kusema mkakati huo umesababisha ukusanyaji haramu wa data za kibinafsi.
Habari ID: 3476004    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/10/29

Waislamu Uingereza
TEHRAN (IQNA) –Pauni za Uingereza 24,000 zilikusanywa kwa ajili ya ujenzi wa moja ya misikiti mikongwe zaidi huko Blackburn nchini Uingereza.
Habari ID: 3475903    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/10/09

Njama dhidi ya Iran
TEHRAN (IQNA)- Wizara ya Usalama ya Iran imesema Marekani na Uingereza zilichochea ghasia zilizoshuhudiwa hivi karibuni kote Iran.
Habari ID: 3475864    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/10/01

Kadhia ya al-Quds
TEHRAN (IQNA) - Wajumbe wote wa nchi za Kiarabu nchini Uingereza wameripotiwa kutoa wito kwa nchi hiyo kutohamisha ubalozi wake kutoka Tel Aviv hadi Al-Qud (Jerusalem) .
Habari ID: 3475863    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/10/01

Kadhia ya Quds
TEHRAN(IQNA)- Msemaji wa Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (Hamas) ameashiria mpango wa Uingereza wa kuuhamisha ubalozi ulioko Tel Aviv hadi Quds Tukufu(Jerusalem) na kueleza kuwa: hatua hiyo haibadili kivyovyote uhakika wa kihistoria.
Habari ID: 3475835    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/09/24

Waislamu Uingereza
TEHRAN (IQNA) – Kwa mujibu wa ripoti ya taasisi moja ya utafiti, Waislamu wa Uingereza wamepunguziwa hadhi ya uraia wao hadi hadhi ya "daraja la pili" kutokana na mamlaka iliyoongezwa hivi karibuni ya kuwavua watu utaifa au uraia wao.
Habari ID: 3475771    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/09/12

Uislamu barani Ulaya
TEHRAN (IQNA) – Mwanamke mmoja huko Plymouth, kusini magharibi mwa Uingereza, alikubali Uislamu baada ya kusoma Qur’ani Tukufu mara nne katika muda wa mwezi mmoja.
Habari ID: 3475726    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/09/03

Wamagharibi na ugaidi
TEHRAN (IQNA)- Mwandishi wa kitabu kilichochapishwa hivi karibuni amefichua jukumu la idara ya kijasusi ya Kanada (Canada) katika kutuma wasichana kwenda kujiunga na kundi la kigaidi la Daesh au ISIS na kusisitiza kuwa serikali ya Uingereza ilijua jukumu la Kanada katika kashfaa hii lakini ikajizuia kuifichua.
Habari ID: 3475710    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/08/31

Waislamu Uingereza
TEHRAN (IQNA) – Msikiti mmoja huko York nchini Uingereza unatazamiwa kuandaa siku ya wazi kwa wasiokuwa Waislamu wa eneo hilo kuja kujifunza kuhusu Uislamu na mtindo wake wa Waislamu.
Habari ID: 3475683    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/08/26

Ubaguzi wa rangi
TEHRAN (IQNA) – Kulingana na utafiti mpya, Waislamu na watu weusi au wenye asili ya Afrika wanakabiliwa na viwango vya juu zaidi vya ubaguzi kote Uingereza.
Habari ID: 3475542    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/07/26

Chuki dhidi ya Uislamu
TEHRAN (IQNA) - Waislamu nchini Uingereza wanataka waziri mkuu ajaye nchini humo akabiliane na chuki ya kimfumo dhidi ya Uislamu katika Chama cha Kihafidhina (Conservative).
Habari ID: 3475509    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/07/16

Chuki dhidi ya Uislamu
TEHRAN (IQNA)- Uchunguzi mpya umebaini kuwa, karibu asilimia 50 ya misikiti yote nchini Uingereza imekumbana na hujuma za chuki dhidi ya Uislamu katika kipindi cha miaka mitatu iliyopita.
Habari ID: 3475436    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/06/28

Ibada ya Hija
TEHRAN (IQNA) - Waislamu wa Uingereza yamkini hawataweza kutekeleza ibada ya Hija mwaka huu baada ya kusibiri kwa muda wa miaka wakati Hija ilikuwa marufuku kwa walio nje ya Saudia kutokana na janga la corona.
Habari ID: 3475434    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/06/27

TEHRAN (IQNA)- Utafiti mpya umefichua kuwa, Waislamu saba kati ya kumi nchini Uingereza wamekabiliwa na vitendo vya chuki na ubaguzi kwa misingi ya dini yao.
Habari ID: 3475353    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/06/09

Waislamu na siasa Ulaya
TEHRAN (IQNA) - Akhtar Zaman amechaguliwa kama meya mpya wa mji wa Bolton nchini Uingereza, na kuwa Muislamu wa kwanza anayechukua nafasi hiyo.
Habari ID: 3475285    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/05/23

Waislamu Uingereza
TEHRAN (IQNA)- Paundi milioni 24.5 zimetengwa kwa ajili ya usalama katika maeneo ya ibada na shule nchini Uingereza.
Habari ID: 3475273    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/05/21

TEHRAN (IQNA)- Shule moja nchini Uingereza imewalisha wanafunzi Waislamu nyama ya nguruwe jambo ambalo limeibua hasira kali miongoni mwa wazazi.
Habari ID: 3475266    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/05/19